×

Pakua

Dondozi zetu ni utambulisho wa ubunifu wetu zinazokufikia kwa kubonyeza kitufe tu. Popote ulipo duniani utaona cheche tunazohuisha, na upate kuelewa jinsi tunavyoweza kuungana na kubuni kitu cha kipekee. Kitu chochote tunachotayarisha hufanywa na shauku, na umefika wakati wa kuwajumuisha katika haya.

Furahia uwezo wa ubunifu wa kiafrika na ushirikiano tunapowaletea na kuhuisha hadithi za kusisimua pamoja na fikra

1 of 7
01 The Walls Within
by Francine Naeku Pakua
2 of 7
02 The Last Fight
by Joseph Nzioka Pakua
3 of 7
03 The Big Chase
by Zawadi Akinyi Pakua
4 of 7
04 Heri
by Ashura Masinde Pakua
5 of 7
05 Raiding Nairobi’s Treasure
by Jabari Maende Pakua
6 of 7
06 Abel’s Lesson
by Mwaniki Ndung’u Pakua
7 of 7
07 Traces In The Shadows
by Rose Nyagambi Pakua